Willkommen auf den Partnerschaftsseiten
der HAWAKASO Songea/Tansania
und der KAB Augsburg

Button2008transp01

Karibu katika ukurasa wa ushirikiano kati ya vyama vya wafanyakazi wakatoliki wa majimbo ya Augsburg na Songea

Mradi wa kirafiki kati ya HAWAKASO ya Songea na wanaharakati wa KAB wa jimbo la Augsburg ulianzishwa mwaka 2000.  Wanaharakati wa KAB wa jimbo la Augsburg waliamua, kama sehemu ya utume, kusambaza muundo wa chama chao kwenye Jimbo Kuu la Songea lilikopo Kusini mwa Tanzania/Afrika.
Blick auf Songea

KAB ya Songea inaitwa HAWAKASO. Uongozi uliochaguliwa na katibu aliyeajiliwa kwa pamoja wanaendeleza malengo ya chama na wana malengo yafuatayo:
--Habari na maendeleo ya chama kwa kupokea wanachama wapya
--Kutafuta haki sawa kwa wanawake
--Misaada kwa masikini
--Maendeleo ya miradi ya pamoja
 
kwa habari zaidi juu ya mradi wa KAB Songea-Augsburg tembelea kurasa zetu za internet. Ikitokea kwamba una swali lolote au ungependa kuongea na washauri wetu, tuma barua pepe kwa:  <mailto:kreistadt@kab-augsburg.org> kreistadt@kab-augsburg.org au tupigie simu katika namba ifuatayo: +49(0)821 3152181.

Habari za sasa
Mfuko wa msaada utakaowezesha mikopo midogo midogo kwa ajili ya miradi na misaada. Kwa habari zaidi hapa na kwenye
«Augsburger Kontakt» namba 3/05, kama data katika mtindo wa PDF angalia hapa/shusha!