Willkommen auf den Partnerschaftsseiten
der HAWAKASO Songea/Tansania
und der KAB Augsburg

Button2008transp01

 

Gebet der CAJ und KAB
in Deutsch und Kisuahili

Sala ya (Vijana) Wafanyakazi Wakristo

 

Herr Jesus Christus,

Bwana wetu Yesu Kristu

 

wir opfern Dir unseren Tag, unsere Arbeit,

Tunakutolea siku hii ya leo, pamoja na kazi zetu,

unsere Kämpfe, unsere Freuden und Leiden.

mapambano yetu, furaha na mateso yetu.

Lass uns, wie auch alle unsere Schwestern und Brüder in der Welt der Arbeit,

Utujalie sisi pamoja na ndugu zetu katika ulimwengu wa kazi,

denken wie Du, arbeiten mit Dir, leben in Dir.

tufikirie kama wewe, tufanye kazi pamoja nawe na tuishi ndani yako.

Gib uns die Gnade, Dich mit ganzem Herzen zu lieben

Utujalie Neema ya kukupenda kwa moyo wetu wote

und Dir mit allen Kräften zu dienen.

na kukutumikia kwa nguvu zetu zote.

Dein Reich komme in die Fabriken, die Werkstätten,

Ufalme wako ufike viwandani, kwenye karakana,

die Büros und in unsere Häuser.

maofisini na nyumbani kwetu.

Gib, daß alle, die heute in Gefahr sind, in Deiner Gnade

Uwajalie wote walio hatarini leo wadumu katika Neema yako,

bleiben, und schenke den Verstorbenen Deinen Frieden.
na uwajalie marehemu wote amani yako.

 

Besonders bitten wir Dich: (Fürbitten)

Tunakuomba hasa kwa ajili ya . . . (maombi binafsi)

 

Herr Jesus Christus, in Deiner Liebe segne die arbeitende Jugend.

Bwana wetu Yesu Kristu, kwa upendo wako uwabariki vijana wafanyakazi.

Herr Jesus Christus, heilige uns und unsere Familien.

Bwana Yesu Kristu, utakatifuze sisi pamoja na familia zetu.

Herr Jesus Christus, Dein Reich komme durch uns und unsere Arbeit.

Bwana Yesu Kristu, Ufalme wako ufike kwa njia yetu na kazi zetu.

Seliger Marcel Callo, Märtyrer der Arbeiterjugend, bitte für uns.

Mwenye Heri Marcel Callo, shahidi wa vijana wafanyakazi wakristu, Utuombee.

Maria, Königin der Apostel, bitte für uns.

 

 

Maria, Malkia wa Mitume, utuombee.

Amen.

Amina.

Text als PDF-Datei (1 A4 Seite - 9 KB) herunter laden, hier!